Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar ( PBZ) Tawi la Wete Kisiwani Pemba Ndg.Mohammed Mussa Ali, akimkabidhi mtoto Maryam Ali mfuko wa
unga wa ngano 5Kg,huko katika Kijiji cha Chaani Konde Wilaya ya Micheweni
Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ)Tawi la Wete Kisiwani Pemba Ndg.Mohammed Mussa Ali akizungumza
na wazee na watoto mayatima, huko katika Kijiji cha Chaani Konde, mara baada ya
benki hiyo kutoa msaada wa vyakula kwa watoto hao
MLEZI wa jumuia ya ISSO ambayo inajishughulisha na kusimamia mayatima Konde, Omar Khamis Hamad akizungumza katika hafla ya ugawaji wa vyakula kwa watoto mayatima, huko katika Kijiji cha Chaani Konde Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment