Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kikao na viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kikao na viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi mbalimbali (Wanawake) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi mbalimbali (Wanaume) wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (Tanzania Private Sector Foundation) mara baada ya Kikao chao kilichofanyika leo tarehe 31 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.