Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mwanakombo Bakari dada mkubwa wa Mke wa Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Mei 31, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment