RASI wa Ndaki ya Misitu wanyamapori na Utalii
Profesa Suzana Augostino, kutoka chuo kikuu cha SUA Morogoro akifungua mafunzo
ya mabadiliko ya Tabia nchi na biashara ya hewa ukaa, kwa waandishi wa habari
za Mazingira nchini Tanzania, yaliyoandaliwa na kituo cha kitaifa cha kuratib
hewa Ukaa (National Carbon Monitoring Centre).
MRATIB wa kituo cha kitaifa cha kuratib hewa Ukaa
(National Carbon Monitoring Centre) Profesa
Eliakimu Zahabu, akiwasilisha mada ya biashara ya Kaboni na kujuwa shuhuli za
kituo cha kitaifa cha kuratibu Hewa Ukaa, kwa waandishi wa habari za Mazingira
nchini Tanzania.
MKURUGENZI Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari
za Mazingira nchini Tanzania (JET) John Chikomo, akichangia mada katika mafunzo
ya mabadiliko ya Tabia nchi na biashara ya hewa ukaa, yaliyoandaliwa na kituo
cha kitaifa cha kuratibu hewa Ukaa (National Carbon Monitoring Centre).
BAADHI ya waandishi wa habari za Mazingira nchini
Tanzania, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada, ya Mabadiliko ya Tabia
nchi ilivyoathiri Tanzania, wakati wa mafunzo ya mabadiliko ya Tabia nchi na biashara
ya hewa ukaa, yaliyoandaliwa na kituo cha kitaifa cha kuratibu hewa Ukaa
(National Carbon Monitoring Centre,).
MHADHIRI mwandamizi idara ya Mazingira kutoka NCMC
SUA Deo Shilima, akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya Tabia nchi na athari zake
kwa Tanzania, kwa waandishi wa habari za mazingira nchini, mfunzo yalioandaliwa
na kituo cha kitaifa cha kuratibu hewa Ukaa (National Carbon Monitoring
Centre,).(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
MOROGORO)
No comments:
Post a Comment