Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Masheikh Walipofika Kumsalimia Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia na kuzungumza nao, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja.
Baadhi ya Masheikh kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia, baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa mazungumzo na baadhi Masheikh wa Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia akiongozana na baadhi ya Masheikh wa kutoka Unguja na Pemba.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na baadhi ya Masheikh kutoka Unguja na Pemba walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.