Habari za Punde

Uzinduzi wa Jumuiya ya Kupunguza Umasikini na Kuboresha Hali za Wananchi Pemba ( KUKHAWA)

MWENYEKITI wa Bodi ya Jumuiya ya Kupunguza Umasikini na Kuboresha hali za wananchi (KUKHAWA)Pemba, Ndg.Amran Massoud Amran akizungumza na viongozi wa jumuiya hiyo na wadau wengine, mara baara ya kuzindua rasmi mradi wa hali ya umuiliki wa ardhi Pembe, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.
AFISA kutotoka Idara ya Ardhi Pemba Asha Suleiman Said, akiuliza swali juu ya mradi mpya wa hali ya umiliki wa ardhi Pemba, unaoendeshwa na  Jumuiya ya Kupunguza Umasikini na Kuboresha hali za wananchi (KUKHAWA)Pemba, mara baada ya kuzinduliwa kwake mjini chake chake
 (PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 

1 comment:

  1. Kwa hakika juhudi zenu zinaonekanwa taasisi ya kukhawa munaifikia jamii

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.