Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akizungumza na na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said mara baada ya kutoka katika ukumbi wa wageni wanaofika Barazani hapo kufuatilia vikao vinavyoendelea.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Wakichangia hotuba ya mpango wa maendeleo wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa mwaka 2021/2022 na makadirio ya mapato na matumizi ya kazi za kawaida na maendeleo ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka 2021/2022

No comments:
Post a Comment