Habari za Punde

Mpango mkakati wa kuuendeleza, kuutunza na kuuhifadhi Mji Mkongwe

Baadhi ya washiriki pamoja na waandisjhi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Bi Lela Muhamed Mussa alipokuwa akielezea mpango mkakati wa kuuendeleza, kuutunza na kuuhifadhi Mji Mkongwe hapo Ukumbi wa Wizara Kikwajuni

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mheshimiwa Lela Muhamed Mussa amefanya kikao na Waandishi wa habari (press Conference) na kueleza mpango uliopo katika kuendeleza , kuutunza na kuuhifadhi ya mji mkongwe Zanzibar.
Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo iliopo kikwajuni mjini Zanzibar.

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Utalii na M<ambo ya Kale Bi Lela Muhamed Mussa alipokuwa kielezea mpango mkakati wa kuuendeleza, kuutunza na kuuhifadhi Mji Mkongwe hapo Ukumbi wa Wizara Kikwajuni

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.