MASHEHA kutoka shehia 12 zilizomo ndani ya wilaya ya
Wete na waratibu wao wa shehia, wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mradi wa
kuongeza uwajibikaji na ukuaji katika maamuzi ya halmashauri na rasilimali za
umma, unaoendeshwa na Jumuiya ya PEPOHUDA iliyopo Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIBU wa Jumiya ya PEPOHUDA Pemba Said Mbarouk
Juma, akitoa malezo kwa viongozi mbali mbali juu ya uzinduzi wa mradi wa kuongeza
uwajibikaji na ukuaji katika maamuzi ya halmashauri na rasilimali za umma,
hafla iliyofanyika Jamhuri Holli Wete.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRATIBU wa NGOs Pemba Ashrak akizungumza na masheha na waratib wa shehia kutoka shehia 12 za Wilaya ya Wete huko katika ukumbi wa Jamhuri holi wete, kabla ya uzinduzi wa mradi wa kuongeza uwajibikaji na ukuaji katika maamuzi ya halmashauri na rasilimali za umma, mradi unaoendeshwa na Jumuiya ya PEPOHUDA Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MRAJIS wa NGOs Zanzibar Ahmed Khalid Abdulla,
akizungumza na masheha na waratib wa shehia kabla ya kuzindua mradi wa kuongeza
uwajibikaji na ukuaji katika maamuzi ya halmashauri na rasilimali za umma,
mradi huo unaendeshwa na Jumuiya ya PEPOHUDA Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment