RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid.
MJUMBE wa Kamati ya Ujenzi wa Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Sheikh.Ramadhani Rajab Mtoro akizungumza na kutowa maelezo ya ujenzi wa Masjid Nour baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ramadhan Rajab Mtoro,(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya ya Kati Unguja
WANANCHI wa Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani

WANANCHI wa Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nour Unguja Ukuu Kae Pwani leo 18-6-2021.
(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment