Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika-IMF Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF-) Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika(IMF) Abebe Aemro Selassie akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan yaliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 29 Juni, 2021. 

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.