Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Ashiriki Bonaza la Benki ya CRDB.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza Watumishi wa Serikali na Benki ya CRDB katika matembezi yaliyoanzia katika viwanja vya Bunge hadi Uwanja wa Jamhuri kwenye bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza)  lililoandaliwa na benki ya CRDB, Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge, Juni 12, 2021 jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaongoza Watumishi wa Serikali na Benki ya CRDB katika matembezi yaliyoanzia katika viwanja vya Bunge hadi Uwanja wa Jamhuri kwenye bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza)  lililoandaliwa na benki ya CRDB, Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge, jijini Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua timu katika bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza), lililoandaliwa na benki ya CRDB, Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na washiriki wa bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza), lililoandaliwa na Benki ya CRDB, Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge.

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakivuta kamba kwenye bonanza la michezo (CRDB Pamoja Bonanza), lililoandaliwa na benki ya CRDB, Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge, Juni 12, 2021 katika uwanja wa Jamhuri jijini  Dodoma. Bonanza hilo lilizinduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.