Habari za Punde

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Kaskazini Pemba atekeleza ahadi kwa kukabidhi baskeli kwa wenye ulemavu

MBUNGE wa Viti Maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asiya Sharif Omar, akisalimiana na Bi Salma Amour Mohamed mkaazi wa Kigongo Ungi Msuka, mara baada ya kuwasili kijijini hapo kwa ajili ya kukabidhi baskeli kwa watoto wenye Ulemavu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MBUNGE wa Viti Maalumu Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba Asiya Sharif Omar, akimuendesha mtoto Zuhura Hassan Haji mwenye ulemavu wa kutembea, baada ya kumkabidhi baskeli yake ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa kwa watoto wenye ulemavu huko Ungi Msuka.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)





 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.