Habari za Punde

Mhe Hemed aongoza kikao cha kwanza cha Tume ya uratibu na udhibiti wa dawa za kulevya


 Mwenyekiti wa Tume ya uratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo tangu alipoteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Juni 24,  mwaka  huu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.