Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aendelea na ziara Mkoa wa Mjini Magharibi leo

Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa  mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo leo.[Picha na Ikulu] 08/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akisikiliza taarifa ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto) alipokuwa akiisoma ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kuhusu utekelezaji wa kazi mbali mbali kwa Mkoa wake wakati wa ziara ya iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo.[Picha Ikulu] 08/07/2021.
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa  mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo leo.[Picha na Ikulu] 08/07/2021
Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa  mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo leo.[Picha na Ikulu] 08/07/2021.
Viongozi wa  Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki katika  ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyowasilishwa   katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo leo.[Picha na Ikulu] 08/07/2021.
Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kabla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo leo.[Picha na Ikulu] 08/07/2021.
Mwananchi wa Shehia ya Welezo Bw. Ameir Ismail Hassan  alipopkuwa kielezea kero ya kutopatikana kwa huduma ya Maji Safi na Salama katika Shehia hiyo leo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu.] 08/07/2021.
Mwananchi  Khamis Ali Haji aliyetoa malalamiko mbele  ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yanayohusiana na Mgogoro wa Adrhi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa  kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu.] 08/07/2021.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Wananchi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.[Picha na Ikulu.] 08/07/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.