Habari za Punde

Ndege ya EurowingiDiscover Ikiwa na Watalii Mchanganyi Yazindua Safari Zake Zanzibar.

Ndege ya Eurowings Discover ikiwasi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikitokea Ujerumani ikimwagiwa maji na gari za Kikosi cha Zimamoto Uwanja wa ndege kuashirikia kukaribishwa Zanzibar 
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa akikata utepe kuzindua Safari za Ndege hiyo na (kulia kwake) Naibu Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Dk.Kathrin Steinbrenner, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Ndege ya Eurowings Discover kwa mara kwanza imetua Zanzibar ikitokea Ujerumani na itakuwa ikifanya safari zake mara mbili kwa wiki. Hii ni hatua moja ya matumaini ya kuongeza idadi ya watalii serious wanaokuja Zanzibar na hilo bila ya shaka ni kuongeza na kunyanyua uchumi wa Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.