Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aendelea na ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Jamiu Zenjibar Mazizini Jijini Zanzibar akihudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe,Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid JamiuZenjibar Mazizini Jijini Zanzibar. na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg.Idrisa Mussa akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Jijini Zanzibar akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja (Picha na Ikulu)


 

Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa Samaki wakinyoonsha mikono juu kuchaguliwa kutoa changamoto zao leo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao leo alipotembelea mradi wa ujenzi wa Solo la Samaki la Malindi Mjini Unguja akiwa katika ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini.[Picha na Ikulu] 09/07/2021.
Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa Samaki wakinyoonsha mikono juu kuchaguliwa kutoa changamoto zao leo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao leo alipotembelea mradi wa ujenzi wa Solo la Samaki la Malindi Mjini Unguja akiwa katika ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini.[Picha na Ikulu] 09/07/2021
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein AliMwinyi akitoa maelekezo kwa Afisa Idara ya Uvuvi Nd.Idrissa Mussa (katikati)  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini alipofika katika Ujenzi wa Mradi wa Solo la Samaki Malindi (wa pili kushoto) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.Abdalla Kombo .[Picha na Ikulu] 09/07/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Afisa katika Idara ya Uvuvi Nd.Idrissa Mussa  (wa pili kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini alipofika katika Ujenzi wa Mradi wa Solo la Samaki Malindi .[Picha na Ikulu] 09/07/2021
Baadhi ya mafundi wa kampuni ya ujenzi wa Soko kubwa la Samaki katika maeneo ya Malindi Wilaya ya Mjini Unguja wakiwa Kazini wakati wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko hilo Leo.[Picha na Ikulu] 09/07/2021.
Mbunge wa Jimbo la Kwahani  Mhe.Ahmada akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Amani Maalim Mussa Hassan wakati wa Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Mradi wa Ujenzi wa Solo la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo.[Picha na Ikulu) 09/07/2021. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.