Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akamilisha ziara yake Mkoa wa Kaskazini Unguja. Azungumza na wananchi

BAADHI ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo iliyoanza jana na kumalizika leo, mkutano huo wa majumuisho umefanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi mbalimbali zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud, baada ya kumaliza ziara yake na kuzungumza na Viongozi na Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)


BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.