Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aondoka nchini kuelekea Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akielekea nchini Burundi kwa ajili ya ziara ya siku mbili leo tarehe 16 Julai, 2021. PICHA NA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.