WAJUMBE wa Kamati ya uteketezaji wa dawa ya kulevya
Zanzibar, wakiwa katika zoezi la upokeaji wa dawa hizo zilizokua zimehifadhiwa
na Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba, baada ya kumaliza kesi zake, kikao cha
upokeaji wa dawa hizo kilifanyika Ofisi za Polisi Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
KATIBU wa kamati ya uteketezaji wa dawa za kulevya
Zanzibar, ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kitaifa ya kuratibu na
udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar, Luteni Kanali Burhani Zubeir Nassor,
akitoa baadhi ya vifurushi vya dawa aina ya Heroin katika moja ya bahasha kwa
ajili ya kuhesabiwa na kupimwa, wakati wa kikao cha upokeaji wa dawa hizo
kilichofanyika Ofisi za Polisi Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Zanzibar
Dkt Sada Mkuya, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kamati ya uteketezaji wa dawa
za kulevya Zanzibar, kabla ya kupimwa kwa dawa hizo wakati wa kikao cha
upokeaji wa dawa hizo kilichofanyika Ofisi za Polisi Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
KATIBU wa kamati ya uteketezaji wa dawa za kulevya
Zanzibar, ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kitaifa ya kuratibu na
udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar, Luteni Kanali Burhani Zubeir Nassor,
akifuatilia kwa makini upimaji wa dawa za kulevya kutoka kwa watendaji wa ofisi
ya Mkemia mkuu wa Serikali Pemba, wakati wa kikao cha upokeaji wa dawa hizo
kilichofanyika Ofisi za Polisi Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Zanzibar
Dkt Sada Mkuya, akionyesha dawa za kulevya aina ya misokoto ya bangi, wakati
ilipokua ikipimwa kujulikana uzito wake, wakati wa kikao cha upokeaji wa dawa
hizo kilichofanyika Ofisi za Polisi Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Zanzibar
Dkt Sada Mkuya, akishuhudia zoezi la uteketezaji wa dawa za kulevya, pamoja na
wajumbe wa kamati ya uteketezaji wa dawa hizo Zanzibar, zoezi lililofanyika
katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:
Post a Comment