Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aongoza Wananchi Jijini Dar es Salaam Kuaga Mwili wa Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale Viwanja Vya Karimjee.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha rambirambi katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa familia ya marehemu Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.