Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Apokea Ujumbe Maalum Kutoka kwa Mfalme wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (U.A.E)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan ambaye ni Mjumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan, Mjumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Barua yenye Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa  Umoja wa Falme za kiarabu (U.A.E) Sheikh Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan, uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Mfalme huyo Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al-Nahyan ambaye ni Waziri wa Nchi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai 15,2021. PICHA NA IKULU
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.