RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara ya Samaki
katika eneo la Bwawani Mabulii Wilaya ya Mjini Unguja akiwa katika ziara yake
katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kutembelea utekelezaji wa Miradi ya
Maendeleo katika Mkoa huo
WAFANYABIASHARA ya Samaki katika eneo la bwawani
mabuluu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na wafanyabiashara hao
alipotebelea eneo wanalofanyika biashara zao baada ya kuhamishwa kutoka malindi
ili kupisha ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki la Kisasa, akiwa katika ziara
yake katika Wilaya ya Mjini Unguja
WAFANYABIASHARA katika soko la samaki bandari ya
Bwawani Mabuluu Wilaya ya Mjini Unguja wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza nao wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mjini UngujaWAFANYABIASHARA katika soko la samaki bandari ya
Bwawani Mabuluu Wilaya ya Mjini Unguja wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza nao wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment