Habari za Punde

RFais Mhe Samia awasioli Burundi kuanza ziara ya siku mbili nchini humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Burundi Mkuu wa Burundi  Mhe. Prosper Bazombanza alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa  ya siku mbili leo Julai 16,2021.(Picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake  Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa  ya siku mbili leo Julai 16,2021.(Picha na Ikulu)


 Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa Melchion Ndadaye  Jijini Bujumbura Burudi kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku mbili leo Julai 16,2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.