Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA UHURU WA NCHI YA BURUNDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kiongozi wa Chama Tawala Cha Burundi (CNDD - FDD) Ndikuriyo Revevien, wakati aliposhiriki katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Burundi, kwenye viwanja vya Uhuru Boulevard mjini Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini humo. Julai 01, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Burundi, Bunyoni Guillaume, wakati aliposhiriki katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Burundi, kwenye viwanja vya Uhuru Boulevard, mjini Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Rwanda, Edouard Ngirente, wakati aliposhiriki katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Burundi, kwenye viwanja vya Uhuru Boulevard, mjini Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini humo.
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishime akiwa katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Burundi, kwenye viwanja vya Uhuru Boulevard, mjini Bujumbura.
Wananchi wa Burundi, wakiwa katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi ya Burundi, kwenye viwanja vya Uhuru Boulevard, mjini Bujumbura. Julai 01, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.