Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

KATAPIA la Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, likiweka sawa barabara ya Wesha kwenda ndagoni hadi Mkumbuu, kama ililivyokutwa na mpiga picha wetu
MRATIB wa Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Pemba Abdalla Said, akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Wete Mgeni Khatib Yahya boti ya kuvukia wananchi wa Kisiwa cha Kokota, boti hiyo imetolewa na taasisi ya Milele Foundation Zanzibar

MBUNGE wa Jimbo la Kojani Kiswani Pemba ambae pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Hamad Hassan Chande, akizindua Mradi wa Maji na Uzinduzi wa Visima vya Maji Safi na Salama katika Jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.