Habari za Punde

MAJALIWA AKAGUA KITUO CHA AFYA CHA MISHAMO WILAYANI TANGANYIKA.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kituo cha Afya cha Mishamo wilayani Tanganyika, Agosti 26, 2021. Alikuwa katika ziara ya kikazi mkoani Katatavi.

Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Nka katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo wilayani Tanganyika wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokagua Kituo cha Afya cha Mishamo akiwa  katika ziara ya kikazi mkoani Katavi, Agosti 26, 2021. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.