Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Mpango Atowa Heshima za Mwisho kwqa Marehemu Kwandikwa Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na Mkewe Mama Mbonimpawe Mpango wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias Kwandikwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo Agosti 6,2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.