Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameshiriki Katika Maziko ya Mjumbe wa NEC CCM Leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Kusini Unguja  Mhe.Rashid Hadid Rashid alipowasili katika Masjid Jamii-Attqwa Dunga aliposhiriki katika maziko ya Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) aliyefariki jana na kuzikwa leo katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika Msikiti Jamii- Attqwa uliyopo katika Kijiji cha Dunga kabla ya Sala ya Maiti ya Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC),iliyoongozwa na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Mfaume,MAREHEMU alifariki jana na kuzikwa  leo katika  Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika Msikiti Jamii- Attqwa uliyopo katika Kijiji cha Dunga kabla ya Sala ya Maiti ya Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC),iliyoongozwa na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Mfaume,MAREHEMU alifariki jana na kuzikwa  leo katika  Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika Sala ya Maiti ya Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), iliyoongozwa na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Mfaume (mbele) katika Masjid Jamii-Attqwa Dunga na   kuzikwa  katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Baadhi ya Viongozi na Waislamu mbali mbali wakimswalia Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC),Sala iliyoongozwa na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Mfaume (mbele) katika Masjid Jamii-Attqwa Dunga na   kuzikwa  katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya Sala ya Maiti ya Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Khalid Mfaume (mbele) akiongoza dua hiyo leo katika Masjid Jamii-Attqwa Dunga na Maziko kufanyika katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Vijana wa Jumuiya ya Vijana (UVCCM) Wilaya ya Kati Unguja wakibeba Mwili Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika leo katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi walihudhuria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Semeni Khamis Vuai Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), wakati wa Maziko yaliyofanyika leo  katika Kijiji cha Tunguu Wilaya  ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 29/08/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.