KATIBU Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt Omar Dadi Shajak akizindua awamu ya pili
ya mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu msingini Chake Chake Pemba,
halfa iliyofanyika nje kidogo ya mji wa Chake Chake.
KATIBU Mkuu Wizara ya
Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Aboud Suleiman Jumbe, akifuatilia kwa makini
uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa mfumo wa maji machafu
msingini Chake Chake Pemba, hafla iliyofanyika nje kiddogo ya mji wa Chake
Chake.
BAADHI ya washiriki
wa taasisi mbali mbali zinazohisha katika usimamizi wa mradi wa uimarishaji wa
mifumo ya maji machafu msingini Chake Chake Pemba, wakifuatilia kwa kamini
uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi huo, hafla iliyofanyika nje kiddogo ya mji
wa Chake Chake.
MKURUFENZI idara ya Mazingira Zanzibar Farhat Ali Mbarouk, akifuatilia uwasilishaji wa mada mbali mbali katika hafla ya uzinduzi wa awamu ya pili ya mradi wa uimarishaji wa mifumo ya maji machafu msingini Chake Chake Pemba, hafla iliyofanyika nje kiddogo ya mji wa Chake Chake.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment