Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amewasili Mkoani Mwanza leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo tarehe 08 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Chapakazi kilichokuwa kikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.