Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Sulihu Hassan Amepokea Ujumbe Maalum Kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Mjumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini Balozi Albino Ayuel Aboug aliyewasilisha Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir, Ikulu Jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini uliowasilishwa na Mjumbe maalum Balozi Albino Ayuel Aboug Ikulu Jijini Dar es salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe maalum kutoka kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini Balozi Albino Ayuel Aboug, aliyewasilisha Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir, Ikulu Jijini Dar es salaamleo Septemba 15,2021. .

PICHA NA IKULU. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.