RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalima
mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, iliofanyika katika
Masjid Noor Kombeni Wiliya ya Magharibi ‘B’ Unguja.
Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika maziko ya
Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, yaliofanyika katika
Kijiji cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekitib wa Baraza la
Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu
Jaji ya Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, maziko yaliofanyika katika Kijiji
cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’Unguja
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj.Othman Masoud Othman akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu
Jaji ya Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, maziko yaliofanyika katika Kijiji
cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’UngujaMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Jaji ya Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji, maziko yaliofanyika katika Kijiji cha Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’Unguja
WANANCHI wakihudhuria maziko ya Marehemu Jaji wa
Mahkama Kuu Zanzibar Haji Omar Haji yaliofanyika katika makaburi ya Kijiji cha
Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika
kwa maziko ya Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.Haji Omar Haji na (kulia
kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Alhaj. Omar Othman Makungu na Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Wadi na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakijumuika katika kuitikia dua
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana wa Jaji Mkuu wa
Zanzibar Alhaj Omar Othman Makungu baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemi
Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.Haji Omar Haji, yaliofanyika katika makaburi ya
Shakani Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja.
No comments:
Post a Comment