Habari za Punde

Waandishi wa Habari Pemba Wapata Mafunzo ya Ushirikishwaji wa Wanawake Katika Uongozi na Demokrasia.

MKURUGENZI wa Jumuiya ya PEGAO Pemba Ndg.Hafidhi Abdi Said, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba, juu ya uzinduzi wa mradi wa ushirikishaji wa Wawanawake katika uongozi na Demokrasia, katika ofisi ya Jumuiya ya PEGAO Chake Chake Pemba, wakishirikiana na TAMWA-Zzanzibar na ZAFELA chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Norway Tanzania.
BAADHI ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mradi wa ushirikishaji wa Wawanawake katika uongozi na Demokrasia, katika ofisi ya Jumuiya ya PEGAO Chake Chake Pemba, wakishirikiana na TAMWA-Zzanzibar na ZAFELA chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Norway Tanzania. 

MWANDISHI wa Habari kutoka shirika la Magazeti ya Serikali Ofisi ya Pemba Haji Nassor Mohamed, akuliza swali wakati wa Uzinduzi wa mradi wa ushirikishaji wa Wawanawake katika uongozi na Demokrasia, katika ofisi ya Jumuiya ya PEGAO Chake Chake Pemba, wakishirikiana na TAMWA-Zzanzibar na ZAFELA chini ya ufadhili wa Ubalozi wa Norway Tanzania.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.