Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na sheria ndogo ndogo ya Baraza la Wawakilishi Mhe Mihayo Juma Nhunga akizungumza na Mkuu wa Wilaya Mkoani Khatib Juma Mjaja wakati kamati hiyo ilipofika ofisini kwake Mkoani kwa ajili ya Kusalimiana kabla ya Kamati hiyo kuendelea na kikao na madiwani wa Baraza la Mji Mkoani.
Mkurugenzi wa Baraza la mji Mkoani Yussuf Kaiza Makame akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya kanuni na sheria ndogo ndogo ya Baraza la wawakilishi kuhusu mambo mbali mbali yanawahusu madiwani wa Baraza hilo.
No comments:
Post a Comment