Habari za Punde

Rais Hussein Ali Mwinyi aufungua Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmin leo 8-10-2021, na kujumuima na Wauminin wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizia hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na  Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa kamati ya Msikiti Masjid Tawba  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipowasili    kuifungua Masjid hiyo.[Picha na Ikulu] 08/10/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiufungua mlango wa Msikiti Masjid Tawba  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi mara baada ya kuufungua Msikiti Masjid Tawba uliopo  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiitikia Dua iliyoombwa na   Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha zake kwa Waislamu na Viongozi mbali mbali mara baada ya Sala ya Ijumaa katika  Msikiti Masjid Tawba  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo
Waumini wa Kiislamu wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba  Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi uliofunguliwa leo na Rais waq Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 08/10/2021.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.