Habari za Punde

Mhe. Rais Samia akiondoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea ArushaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipokua akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Arusha leo tarehe 21 Novemba 2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.