Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimkaribisha Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania Mhe.Nabil  Hajlaoui alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na Mke wa Balozi Amna Hajlaoui .[Picha na Ikulu]      17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Mgeni wake  Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]            17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  Mgeni wake  Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania Mhe.Nabil  Hajlaoui  wakati  wa  mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na  Mgeni wake  Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania Mhe.Nabil  Hajlaoui  mara baada ya  mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania Mhe.Nabil  Hajlaoui  mara baada ya  mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.