Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali waliomsindikiza
katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Cairo nchini Misri kwa ajili
ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka nchini kuelekea Cairo, Misri
kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment