Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Tawi la Benki ya CRDB Islamic Banking Michezani Mall Zanzibar.

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhendisi Zena Ahmed Said akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Bw. Ally Laay, alipowasili katika viwanja vya Michezani Mall kuhudhuria ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Al Barakah (Islamic Banking) 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Bw. Ally Laay, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB.Bw.Abdulmajid Nsekela, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Naibu Gavana wa BOT Dkt.Bernard Kibesse na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakiwa katika viwanja vya Michezani Mall wakisubiri kumpokea mgeni rasman Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. kwa ajili ya ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Islamic Banking.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na wa CRDB Benki baada ya kuwasili katika viwanja vya Michezani Mall Jijini Zanzibar kwa ajili ya kulingua Tawi la Benki ya CRDB Islamic Benki Michezani Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Bw.Ally Laay na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kumalizika kwa Shairi la Nashid iliyokuwa ikisomwa na Ust Nassir Nassir, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Bw.Ally Laay na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw. Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall Zanzibar.(Islamic Banking), ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw. Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall Zanzibar.(Islamic Banking) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali,ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashirika kulizindua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Benki Al-Barakah Banking (Islamic Banking) na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benki Ndg. Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRDB Benki Ndg. Ally Laay  na Naibu Gavana BOT Dkt.Bernard Kibesse (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kasim Ali.hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakifungua mlango kuashiria kulifungua rasmin Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Benki  Al-Barakah Banking (Islamic Banking) na (kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRDB Benki Ndg. Ally Laay  na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali,hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti cha Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB.Bw. Ally Laay, baada ya hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika jengo la benki hiyo Michezani Mall Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Michezani Ndg. Ahmada Abubakar, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking, baada ya kulifungua rasmin leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela, akitembelea Tawi la Benki ya CRDB Islamic Banking baada ya kulifungua rasmin leo 18-11-2021, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Jamal Kassim Ali. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Muandamizi wa Benki ya CRDB Ndg.Muhsin Mohammed, baada ya kulizindua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking ( Al Barakah Banking)  leo 10-11-2021, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Afisa Mahusiano wa Premier Banking Bi. Rahma Ibrahim, akitoa waelezo ya huduma ya Benki ya CRDB kupitia Premier Banking ukuwa sehemu yoyote unapata huduma hiyo.
WAGENI Waalikwa wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking, wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall leo 18-11-2021.
Baadhi ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking, uzinduzi huo umefanyika leo.
MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Mwambapa akizungumza na kutowa maelezo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking (Al-Barakah Banking) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar
MKUU wa Kitengo cha Al-Barakah Banking (Islamic Banking) Ndg.Rashid Rashid  akitowa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki hiyo ya Huduma ya Islamic Banking wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo 18-11-2021, katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa hafla ya Uziunduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Huduma ya Islamic Banking, hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB Bw. Ally Laay akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking Al Barakah Banking, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 18-11-2021.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya cIslamic Banking, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na kulifungua Tawi hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika hafla ya kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jengo la Michezani Mall leo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika hafla ya kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jengo la Michezani Mall leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Islamic Banking.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.