Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) akipokea Kitabu cha  Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)Nd,Zelia Njeza baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea  pongezi  kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa  akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT) unaoongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Nd,Zelia Njeza (wa tatu kushoto) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea  pongezi  kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja.
Wasaidizi wa Rais, wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo.
[Picha na Ikulu] 29/11/1021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.