Habari za Punde

Waziri Mhe Mchengerwa Atembelea Tume ya Uchaguzi

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza jambo baada ya kumkabidhi taarifa ya uchaguzi mkuu wa 2020 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa wakati Waziri na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma, 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa wakati Waziri na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma, Novemba 10,2021.
 (Picha na Mroki Mroki).
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.