Habari za Punde

Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021 Yavutia Wengi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani kwa ajili ya kuaza kwa Mbio Zanzibar Blue Economoy Half Marathon 2021 za Kilomita 4 na kumalizia katika uwanja wa Amaan (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakijiandaa kuaza mbio hizo zilizofanyika leo 6-11-2021 ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika matembezi ya Marathon ya Kilomita 4, yalioazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani na kumalizia katika Uwanja wa Amaan Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana  na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika matembezi hayo ya Zanzibar Blue Economy Half Marathon 2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika Matembezi ya Kilimota 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021 yaliyoazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
WANANCHI wakiwa katika barabara ya Amani wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akipita katika eneo hilo wakati akiwa katika Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon, ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika Matembezi ya Kilimota 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon 2021 yaliyoazia katika eneo la Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar na kumalizia katika Uwanja wa Amaan na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Abdalla Majura na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmes Said, ikiwa ni maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake 
WANANCHI wakiwa katika barabara ya Amani wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akipita katika eneo hilo wakati akiwa katika Matembezi ya Kilomita 4 ya Zanzibar Blue Economy Hafl Marathon, ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.
Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa wakifuatilia Mbio za Marathon Zanzibar Blue Ecenomy Hafl Marathon 2021, wakiwa katika jukwaa la Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar wakati washiriki wa Marathon hiyo wakimalizia mbio hizo zilizoshirikia Kilomita 21,10 na 4.Ikiwa na shamrashara za Maadhimsho ya Mwaka Mmoja wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi nae ameshiriki Kilomita 4.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ  wakifuatilia Mbio za Marathon Zanzibar Blue Ecenomy Hafl Marathon 2021, wakiwa katika jukwaa la Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar wakati washiriki wa Marathon hiyo wakimalizia mbio hizo zilizoshirikia Kilomita 21,10 na 4.Ikiwa na shamrashara za Maadhimsho ya Mwaka Mmoja wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi nae ameshiriki Kilomita 4.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani Mshindi wa kwanza wa Mbio za  Kilomita 21 za Zanzibar Blue Economy Hafl Maradhon 2021 Francis Daman baada ya kubuka mshindi wa mbio hizo, zilizoazia katika eneo la Mapindizi Square Michezani na kumalizia Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani Mshindi wa kwanza wa Mbio za  Kilomita 21 za Zanzibar Blue Economy Hafl Maradhon 2021. Natalia baada ya kuibuka mshindi wa mbio hizo, zilizoazia katika eneo la Mapindizi Square Michezani na kumalizia Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.