Habari za Punde

Dk Khalid akutana na wanahabari kuzungumzia mafanikio ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dk. Khalid Salum Mohammed akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na maendeleo yaliopatikana katika miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni.

WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dk. Khalid Salum Mohammed akizungumza kuhusiana na maendeleo yaliopatikana katika miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia wizara yake, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.