Habari za Punde

Hafla ya kukabidhi vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya elimu mtandao na masafa Chake Pemba

WALIMU kutoka Skuli Mbali Mbali Kisiwani Pemba, wakifuatilia hafla ya kukabidhi vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya elimu mtandao na masafa, yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

WALIMU kutoka Skuli Mbali Mbali Kisiwani Pemba, wakifuatilia hafla ya kukabidhi vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya elimu mtandao na masafa, yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

RAIS taasisi ya Shaibu Foundation Mustafa Said Abdurabi (Mustafa Moyo), akisoma Risala ya sherehe ya kuwazawadia vyeti Walimu waliohitimu mafunzo ya elimu Mtandao na Masafa, kwa walimu waskuli za msingi na sekondari Pemba, mafunzo yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

AFISA elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma, akitoa nasaha kwa walumu wa skuli za msingi na Sekondari waliohitimu Mafunzo ya Elimu Mtandao na Masafa, yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MKURUGENZI wa taasisi ya Shaibu Foundation Mustafa Said Abdurabi kulia akimkabidhi afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma kushoto cheti cha shukrani kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, wakati wa kugawa vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya Elimu Mtandao na Masafa, yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma kuliam akimkabidhi cheti Mwalimu Bimkubwa Gongo Shaban kutoka skuli ya Ng’ambwa, baada ya kuhitimu mafunzo ya Elimu Mtandano na Masafa, mafunzo yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.