Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu

VIONGOZI mbalimbali wa Taasisi za Serikali na Mashirika ya Umma Zanzibar wakihudhuria mkutano wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 13-12-2021.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 13-12-2021.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakifuatilia Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Ndg.Assa Ahmad Rashid akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Mikoa wa Unguja na Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.