Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi ACP. Elisante Makiko Mmary, akitoa Taarifa kwa Waandishi wa Habari Kuhusu Matukio mbali mbali ya kihalifu yaliyojitokeza katika Mkoa wake, Wiki iliyopita Ofisini kwake Mwembemadema.
Picha Na Maryam Kidko / Maelezo Zanmzibar.
No comments:
Post a Comment