Habari za Punde

Mhe. Rais Samia amuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Adelardus Lubango Kilangi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Picha na Ikulu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.