Habari za Punde

Mhe. Rais Samia apokea awamu ya kwanza wa maendeleo kwa Ustawi wa Taifa Uviko 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika hafla ya kupokea Taarifa ya  Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.

PICHA NA IKULU

Baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria katika hafla ya kupokea Taarifa ya Mpango wa awamu ya kwanza wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.

PICHA NA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.