Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam  Mwinyi (katikati) wakiwapungia mikono WANANCHI  leo walipojumuika na Viongozi   na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa  kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani  hadi Uwanja wa Amaan Studim.[Picha na Ikulu] 01/01/2022
Wanamichezo wakishiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo leo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam  Mwinyi  [Picha na Ikulu] 01/01/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam  Mwinyi (katikati)  walipojumuika na Viongozi  na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa  kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani  hadi Uwanja wa Amaan Stadium.[Picha na Ikulu] 01/01/2022.
Vikundi mbali mbali wa mazoezi kutoka Bara na Visiwani vilivyoshiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Uwanja wa Amani Stadium yaliyofanyika leo. [Picha na Ikulu] 01/

Vikundi mbali mbali wa mazoezi kutoka Bara na Visiwani vilivyoshiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Uwanja wa Amani Stadium yaliyofanyika leo. [Picha na Ikulu] 01/01/2022.
  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wqa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitoa Hutuba yake kwa Wanamichezo katika kilele cha maadhimisho ya Bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa lililofanyika leo katika  Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/22.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.